sugu mbunge makini na mwenye nidhamu aliyebeba bendera ya wananchi wanyonge awapa ukweli wasiotaka kusikia
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mmiliki wa IPTL, Harbinder Seth na mwenzake hadi July 19,2018 kwa sababu upelelezi haujakamilika.