vijana wa kijapan wakinolewa wakiwa bado wadogo..hapa wakipambana kwa dhati kabisa. taekwondo!!
kama unaamua kuchagua chagua aliyenona hayo si maneno yangu ni ardo na wenzake.mkono wa kulia nimeshika bia mkono wa kushoto nimekumbatia.....ni party
CHEGE na TEMBA upande wangu ndio wasanii bora 2011 kwa kuweza kudondosha ngoma zilizoshiba kila walipoingia studio...hivo kukidhi mahitaji ya wazee wa kuparty mpaka majogooo...ngom