Stunning track mazee!! so kwa wale wa kujibu kazi kwenu!!
tega sikiooo!!
Mwana FA feat AY - Naongea Na Wewe
2010 GRAMMY Awards - MJ's Children Speak heheeee hawa watoto ni noumer wanaongea kuliko watu wazima,watu wazima wangeenda pale wangeanza kutaja majina badala ya kutoa msg
track safi sana jamaa wanaongea ukweli si kizembe lamar kwa mara nyingine tena amenyonga hii biti nature kakandamizakwenye kiitikio jamaa wamakaza kisawa.FUCK WAZAMIAJI