Unapoburudika, kumbuka kifo kiaja, utaenda wapi? Mpokee BwanaYesu.
Usiipende dunia na mambo yaliyomo kwani ukiipenda dunia kumpenda BABA hakumo ndani yako
Wengi wanakimbilia uzima wewe uko wapi?
Wengi wanatamani mahubiri kila siku, wewe je?
Nakushauri kumpokea BWANA YESU leo na utaona mabadiliko makuu sana.
Ndugu yangu penda mahubiri na penda uzima wa milele, na kama utapenda uzima wa milele utakuwa unampenda YESU KRISTO maana uzima wa milele hauko kwingine nje na yeye. Na siku zote B
Ni wakati wa kumpa YESU maisha yako maana kesho huijui itakuwaje.
Nakushauri kumpokea BWANA YESU leo na utaona mabadiliko makuu sana.
Yesu alipata hukumu kwa ajili ya dhambi zetu na alimfungulia mwenye dhambi mlango wa kuingia kwa Mungu.
Arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari. Amepewa kuvikwa kitani nzuri, ing`arayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu
Nakushauri kumpokea BWANA YESU leo na utaona mabadiliko makuu sana
Wengi majina yao yanaandikwa kwenye kitabu cha uzima, wewe je?
Maelfu ya watu wanaokoka lakini yawezekana wewe haumo kwenye orodha hiyo, unadhani ni kwanini haumo?
Burudika lakini kumbuka siku ya kiama. Amua leo umpokee dhambi zako na kmfuata Yesu.
Ni wakati wa kumpa YESU maisha yako maana kesho huijui itakuwaje.
Wengi wanatamani mahubiri kila siku, wewe je?
Unapoburudika, kumbuka kifo kiaja, utaenda wapi? Mpokee BwanaYesu.
YESU, muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako.
Nakushauri kumpokea BWANA YESU leo na utaona mabadiliko makuu sana.
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Burudika, lakini kumbuka siku ya kiama,tubu dhambi zako na umfuate bwana Yesu.
Pole kwa kusikiliza nyimbo hizi. Amua kiziacha na kumfwata Yesu.
Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote. (1 Wakorintho 6:12)
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele. Usipo tubu na kuomba rehema, na kugeuka na kuacha njia zako mbaya.
Maelfu ya watu wanaokoka lakini yawezekana wewe haumo kwenye orodha hiyo, unadhani ni kwanini haumo?
Wengi wanatamani mahubiri kila siku, wewe je?
YESU muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako.