'Ni wewe mpenzi wangu' na 'Wawili wawili'. Asante Jphamber kwa zile nyimbo nyingine za Kilwa.
Mwingine toka kwa Upendo na Florian.
Orchestra Makassy - Agwaya - Kufilisika Sio Kilema
Hii Mix ina Ngoma zilizoachiwa ndani ya Bongo (Tanzania) mwishoni mwa mwaka Jana na Nyingi ni za Mwaka huu. Katika hii Mix utawasikia wasanii kama Umbwa Mzee aka Chindo, Nikki Mbis
CHEGE na TEMBA upande wangu ndio wasanii bora 2011 kwa kuweza kudondosha ngoma zilizoshiba kila walipoingia studio...hivo kukidhi mahitaji ya wazee wa kuparty mpaka majogooo...ngom
Shalom mtu wa Mungu nikukaribishe kutazaman Video hii ya wimbo wangu huu. ni moja kati ya nyingi zilizo kwenye Album Yangu. Tazama na sambaza kwa wengine Na Mungu Akubariki.
Kwa wale wapenda miziki wa Oldskoolz za Bongo. Hii hapa Mix ya DK 13 tuu ngoma zilizosumbua na mbili tatu adimu. Enjoy
Moja kati ya nyimbo zake zilizomuweka matawi ya juu.
Paulina-Les Wanyika-Zilizopendwa... old skool kenyan music...
Semina kati ya wasanii na waandaaji wa Tanzania Music Awards 2010, zilizofanyika Paradise City Hotel, jijini Dar es salaam, Machi 9, 2010.
Video hii inahusu watu wa Kuba na utamaduni wao na jinsi ambavyo kwa kiasi kikubwa utamaduni huo ulivyoathiriwa na Afrika. Msingi huo wa Kiafrika uliwekwa na asasi ya utumwa katika
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
Wabunge Zitto Kabwe na Cecil Mwambe leo Alhamisi Juni 28, 2018 wamemuomba Spika Job Ndugai kuitaka Kamati