Ni nyimbo ya Man Chidi manii mkongwe tangu Wamikosi na China China sasa anakuja na Lord is my Light ambayo video ameamua kujitengenezea mwenyewe.
Hii nyimbo ilirecodiwa mara ya mwanzo kabisa kabla ya kuja kurekodiwa tena na kufanyiwa marekebisho. na kupewa jina la BBM( black beauty model)
lonely ni nyimbo iliyoimbwa na linah but this one is special for valentine day this time is vocoid by marisa the daughter of Taji Mbaraka Mwinshehe
Mwalu P ni msanii mpya kabisa wa Singeli. Hii ni nyimbo yake ya pili katika soko la mziki huu.Video imefanywa Dar es Salaam,Tanzania.
Download the song here:
http://mdundo.
VIDEO - Raha baikoko ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI unaopatikana kwenye Albam yake inayoitwa MNIKOME wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitw
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Rose Muhando alikuwa kimya kwa zaidi ya miaka mitano sasa bila ya kutoa album yoyote tofauti na miaka ya nyuma, kitu ambacho kilipelekea masha
Hailemind Entertainment Presents Nadia Mukami's third studio single & video titled African Lover.
The audio is available on Boomplay, Skiza Tunes etc.
SONG: NAGAMBA DIHA
ARTIST: MBATIZAJI
RECORDED: TUSH REC
PRODUCER: MBATIZAJI
ALBUM: NYIMBO ZA KIKAGURU (WAN'HIJA)
Download Kenyan Music, Kenyan Videos, Ugandan Music from http://www.djerycom.com OR Like us on facebook at http://www.facebook.com/djerycom OR visit us at http://www.ugandanradio.c
Nguchiro song nipe kidogo ni nyimbo iliyorekodiwa katika studio za NEXT LEVEL
Produce ACKNEX
Directed by KENNY
Under zoo-entertainment
mmh hii nyimbo nzuri u have to listen
da new song of Jahazi....nyimbo maarufu bongo!
SONG: NIKUKWENDA GWEYE
ARTIST: MBATIZAJI
RECORDED: TUSH REC
PRODUCER: MBATIZAJI
ALBUM: NYIMBO ZA KIKAGURU (WAN'HIJA)
MWIMBAJI PAULINA NDATILA ATIKISA TANZANIA KWA UJIO WAKE MPYA WA NYIMBO ZA INJILI
Vijana wa Zanzibar na mwanzilishi wa modern taarab watoa video ya nyimbo ya Bata...
nyimbo hii inazungumzia hali halisi ya tanzania haswa wakati huu wa uchaguzi..kapige kura tar.31/10/10
Moja kati ya nyimbo zake zilizomuweka matawi ya juu.
Brand new bongo flava artist goes by the name of Raymoe..kijana ana sauti tofauti na yenye mvutio hii ni nyimbo yake ya kwanza na kwa kweli inatoa matumaini makubwa kwamba this kid
NYIMBO LA UKWELI SANA LINAWAGUSA WEEENGI HASWA WALENGWA
Rhino king na Bi Aisha ni kwa mara ya kwanza wanafanya Kazi pamoja. Wote ni wasaniii kutoka katika Label za muziki mbili tofauti. RHINO yuko chini ya KWETU STUDIOS akiunda kundi la
Mwimbaji wa nyimbo za injili Rose Muhando anatarajia kuzindua albamu yake ndani ya Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika Aprili 1-2, 2018 kanda ya Ziwa.
Akizungumza leo na
Ruge - Um anjo veio me falar SIELEWI ANACHOIMBA ILA NI NYIMBO SAFI INASOUND VIZURI NA NI MFANO MZURI KWA WAIMBAJI WA BONGO
nyimbo ya uchaguzi ila huyu bado sana kwenye game
mpira gani,naona hii nyimbo ya diamond inajibiwa na kila aina ya nyimbo
Download Kenyan Music, Kenyan Videos, Ugandan Music from http://www.djerycom.com OR Like us on facebook at http://www.facebook.com/djerycom OR visit us at http://www.ugandanradio.c
shaa au sarah kaisi kwa jina lake halisi anakuja na nyimbo hii kivingine kabisa
nyimbo nyingine ya mchizi huyu safari hii akikamua na kupewa shavu na belle9
hii biti ndio imemwokoa huyu dogo,sio kutuimbia nyimbo za kitoto
Ninazibadilisha nyimbo ambazo haziimbi vizuri kama mp3 kwa WMA format.