Unbeatable track By Da Criss..
ukweli mtupu
Dogo Janja interview, unashauriwa kuisikiliza kupitia computer (sound)
Mangwair Feat. Lady Jaydee & Mwanafalsafa - Sikiliza
0753258427 SAMARIA BAN
Berry Black ft Baby J and H5 - Usiku Wa Leo
mi natak kuwa na weee yah kuwa na weee
Jaribio jipya kwa huu wimbo kama wma-file. Wale waliokuwa na tatizo kuusikiliza kama mp3 labda sasa itafaa? Unijulishe ikiwa bado haiwezekani.
Alaine. mwana dada mwenye sauti ya kuvutia kabisa,sikiliza Kibao chake hiki kinachoitwa Never Done. utakubali maneno yangu! bless
Sikiliza track kali kutoka DATISHAIZO RECORDS chini ya producer mkali J STIZO TACH
Sikiliza hit song kutoka ktk studio ya DATISHAIZO RECORD'S
Sikiliza wimbo huu mkali kutoka katika studio ya DATISHAIZO RECORDS
Camp Kaphar ni kituo cha Jumuiya ya kujitegemea huko Uhrichsville Ohio. Kila mwaka wanaimba nyimbo za Injili na wasanii mbalimbali kutoka Ohio na zaidi. Bobby, akiwa akiwa mtoto, k
DJ KIDO_XL & KIFUACHUMA PRESENT:BONGO REAL HIPHOP!
TRACK LIST:intro instrumental(Az)2.ibra da hustler ft kikosi- tunawapiga bao
3.Faza Nelly & Xplastaz-nini dhamb
Hii ni Show ya Jana kwa Wale waliokosa kuisikiliza LIVE. Kipindi ni cha Masaa mawili. Saa la Kwanza ni Bongo Mseto na Saa LaPili ni Hip hop na R&B za Zamani toka Kiwanja. Kuleni Ko
Hii hapa Show ya jumatatu Oct 6th 2014 yenye kopo za zamani kutoka Afrika Mashariki kwa Masaa 2 Mfululizo. Kama haukupata nafasi ya Kuisikiliza LIVE fanya kubofya hii link twende s
Nililazima kufanya hii track ya bongo hip hop kutokana na mibalaa ya cellphone huku nikipewa shavu na chingaboi.sikiliza niambie inakuwaje.
Pole kwa kusikiliza nyimbo hizi. Amua kiziacha na kumfwata Yesu.
VIDEO ILIYOFANYWA FASTER FASTER IN GERMANY AFTER TOUR NOVEMBER LAST YR.
SIKILIZA MWENYEWE KISHA COMMENT ZAKO!
Kabla ya kukwea pipa na kujikata USA,Producer machachari DJ Daddy aliwakusanya ma stars kazaa wa Buja flavour wenye uwezo wa kuchana ki HIP HOP...matokeo ndo haya sikiliza mwenyewe
kifua chuma, sikiliza tenzi hizo...
sikiliza beat hii yaani ni hisia kali inavuta ladha ya kweli yaani aah!
Hii ngoma huwa sijawahi kuchoka kusikiliza. Nature Dah, Huyo jamaa hana mfano wake. Throwback Joint, enjoy, Adimu tuu. Leggo
Said alifanya vitu vya hatari humu! Sikia beat, verse na sikiliza flow sasa kuna ujio toka USA
Sikiliza Mapande 20 Toka kwa Nikki Mbishi. Mistari ya Maana akiwakilisha Tamadunimuzik, Enjoy
Itanifaa nini mimi, nipate maghorofa marefu au ulimwengu mzima halafu nikukose wewe Yesu wangu? Ni heri nipate kidogo nisikuache wewe Yesu wangu. Ni maneno mazuri yaliyo katika wim