Mwingine toka kwa Upendo na Florian.
kichaa wa zamani toka ilala enzi hizo ugly faces wapambe nuksi marchocali mj pro
Masauti “SARE” Official Music Video.
Directed by : Nezzoh Montana/ NFinc.
Produced by Motif Di Don
Listen Now:
CONNECT
Mrembo wa Congo mwenye sauti tamu. Toka album yake 'ironie'.
Mbunge alivyoimba Taarab Mbele ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, Leo Novemba 07, 2018, anazindua Mkakati na Mpango Kazi wa kujumuisha masuala ya kijinisa
Version nyingine toka album 'sungi'. Lingana na wimbo uliowekwa na Sebude. Sikiliza pia 'MV mapenzi'
ambao uliwekwa kwa Bobd.
Mpenzi wa timu ya soka ya Yanga nchini Tanzania akilia kwa uchungu kutokana na timu yake kufanya vibaya.
NEW JOINT toka kwa Mwana FA na Ali Kiba chini ya uangalizi wa Marco Challi, Producer toka MJ Records wametisha na huu Mkono, enjoy.
Audio Link: http://bit.ly/_HataSielewi
For Android Users you can download and install Mkito App from Play Store and Stream music at 50% discount (Code: BINAMU)
VIDEO - Raha baikoko ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI unaopatikana kwenye Albam yake inayoitwa MNIKOME wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitw
VIDEO - Tiriri ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitwayo BAIKOKO inayopendwa sana kwa sasa duniani. Wimbo umer
Huu wimbo umeimbwa na wanamuziki wa kike wafwatao kutoka Tanzania: Mwasiti, Queen Darlene, Linah, Dayna, Recho, Maunda Zorro, Keisha, Saynag, Beby J, Beatrice na Zuhura. Producer n
Send 'Skiza 8542783’ to 811 (Safaricom)
Available on boomplay,mkito & mdundo.
This song is dedicated to each & every artist going through batt
#Nandy #SautiSol #KizaKinene
STREAM LINK!
https://bit.ly/2m5k1tM
Nandy msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki ametoa wimbo mpya akiwash
Hii ni Video Mpya ya Nash Emcee Zuzu inayokwenda katika jina la ONYO ikiwa ni Ngoma mojawapo toka katika EP yake mpya itakayotoka hivi karibuni. Enjoy
Wasanii kutoka kundi la Wanaume Halisi Rashidi Ziada aka KR Mullah, Juma Nature na Dolo wakifanya makamuzi ndani ya Dar Live katika Tamasha la Usiku wa Sugu lililofanyika Jumapili
NDEGE Mpya IKITUA Muda Huu AIRPORT
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 08, 2018 ameongoza mapokezi ya ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya
Tito Ni Mwl Wa Kwaya Kongwe Inayoitwa MamaJusi Kutoka Moshi Majengo Leo Anafunguka Mafanikio Na Malengo Ya Kwaya Hii,Amemtaja Rose Muhando
Artist:Nini
Song:Kolo
Written by:Bonga
Produce by:Bonga
Director:Kwetu Studio
NiniTeez ni msanii mpya kutoka Free Nation
the master toka kwa duke under tongwe/Mlab record production
watoto wa mlab wanafanya mazali ya ukweli skiza hii michano toka kwa one ambaye yeye anasema ni incredible
ngoma kali sana kutoka kwa kijana Papoose From brooklyn
Video Mpya ya Prof Jay iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu KIPI SIJASIKIA Imetoka pamoja na TATU CHAFU
Ngoma Mpya Toka kwa Prof Jay akiwa na Mchawi wa Kuimba Diamond. Enjoy
huyu kijana katoka kwa wanyaki kumbe au ni ryhme tuu ananogesha
marco chali aka marco-chizi kidogo toka gomz Uk(ukonga) akikamua beat makini na kumuweka quick kwenye lines(verse) na anaspit pouwa sana na mwana dada mwenye lips safi akiremba pou
jiwe la uhakika toka kwa mtoto wa rock city na kino
utamu mpya toka kwa rama dee