Duuu, huu wimbo tulicheza. Mnacheza ukumbi mzima mwendo wa Soca Dance au Calypso.....
#FOBY #BORA #TANZANIA #AFRICA #ZOUK #MUSIC #MUZIKI
- Wimbo unaelezea Foby anavyopata Mateso kwenye Mahusiano yake na Mpenzie, Ila kubadili wanawake anaona siyo vizuri so
NEW ARTIST FROM TANZANIA (EAST AFRICA)
ARTIST -- FOBY
SONG -- STAR
AUDIO PRODUCER -- C9 KANJENJE
STUDIO --C9 RECORDS
----------------
#Twende ni wimbo unaohusiana na Mahusiano ya wapenzi wawili, Unaoeleza Kuhusu Kuimarisha Penzi bila kuhofu Maneno wala vitisho wala kujali hali ya kifedha,
Audio produced
Kitimtim promotion inakuletea nyimbo mpya ya kitimtim kwaya Rose na Oliva wema katika album volume 4,na wimbo ni Funguka(Efatha)
This style is cool, we love bongo flava, Blue akiweka sauti yake, manze wimbo unakua mtamu tu.
Asante jirani wangu J-J kwa huu wimbo.
Mungu ni Mungu hajawahi badilika na atabaki kua Mungu katika maisha yetu. ndo maana hatutoacha kulisifu jina lake. Msifu Mungu kadri uwezavyo kupitia wimbo huu na yeye atakubariki.
Video mpya ya Isha Mashauzi akiwa na kundi lake la Mashauzi Classic, wimbo unakwenda kwa jina la Kismet.
Video hii ilizinduliwa rasmi Alhamisi 12/1/2017
Penda Unapopendwa - Jennifer Mgendi (New Gospel Music 2017)
Jennifer Mgendi ame release album mpya ya Nyuma Ya Mlima. mwaka huu mpya wa 2017. Nyimbo sita (6); zote video zuri na
Wimbo wangu mpya unaitwa wa kishua umefanyika chini ya muandaaji wa muziki maxmaizer.video imeandaliwa na muongozaji Milos..Kwa maoni na ushauri acha maoni yako hapo chini au wasil
pinch ni mmoja wa matapeli wanaoshoot video lakini siku zake zilitimia kikomo baada ya kutapeli wasanii wengi,matokea yake yalikuwa huu wimbo uliofanywa na msanii muandishi hatari
Nafikiri huu wimbo ni kutoka kabla alienda Wana tamtam, Mchinga etc ?
Ukiwa kama ndugu wa karibu kutizama wimbo wangu unaokwenda kwa jina la sipiganagi mwenyewe Mungu akubariki.#MarthaMwaipaja#SipiganagiMwenyewe#MusicVideo
Itanifaa nini mimi, nipate maghorofa marefu au ulimwengu mzima halafu nikukose wewe Yesu wangu? Ni heri nipate kidogo nisikuache wewe Yesu wangu. Ni maneno mazuri yaliyo katika wim
Shalom mtu wa Mungu nikukaribishe kutazaman Video hii ya wimbo wangu huu. ni moja kati ya nyingi zilizo kwenye Album Yangu. Tazama na sambaza kwa wengine Na Mungu Akubariki.
Hii ni behind the scene ya moja wa wimbo uliomo katika albamu ya Mungu Habadiliki ya Mess jacob Chengula. Unaweza kuwasiliana na Mess Jacob Chengula kwa simu +255 715880584
Temb
Version nyingine toka album 'sungi'. Lingana na wimbo uliowekwa na Sebude. Sikiliza pia 'MV mapenzi'
ambao uliwekwa kwa Bobd.
Mrisho Mpoto, akiwa na bendi yake akitumbuiza wimbo maalum kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Posta Duniani yaliyofanyika Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
VIDEO - Raha baikoko ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI unaopatikana kwenye Albam yake inayoitwa MNIKOME wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitw
VIDEO - Tiriri ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitwayo BAIKOKO inayopendwa sana kwa sasa duniani. Wimbo umer
Huu wimbo umeimbwa na wanamuziki wa kike wafwatao kutoka Tanzania: Mwasiti, Queen Darlene, Linah, Dayna, Recho, Maunda Zorro, Keisha, Saynag, Beby J, Beatrice na Zuhura. Producer n
#Nandy #SautiSol #KizaKinene
STREAM LINK!
https://bit.ly/2m5k1tM
Nandy msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki ametoa wimbo mpya akiwash
Directed By Dahero Wakukaya,Photoed By Aradee Mindu,Adio By Kukaya Records..Wimbo Huu Ukakubariki na Kukupa Nguvu Mpya Mtazamaji Popote Ulipo Ulimwenguni Kwa Mapito Yoyote Yale Una
Huu ni wimbo wa kwanza wa Isha Mashauzi nje ya miondoko ya taarab, ni rumba lililotengenezwa Soft Records chini ya producer Pishuu Mechant, video imefanywa na director Abas Adam.
Pepe Kalle - Divise par deux...Mhn kama wewe ni mdau wa Pepe Kale you better watch this vid pls...Naupenda sana huu wimbo.
Hii ni Video mpya ya wimbo wake mpya uitwao IMEBUMA, Enjoy
Huyu jamaa alitafutaga Beef na Fid Q na huu wimbo.
Sikiliza wimbo mkali kutoka ktk studio ya DATISHAIZO RECORDS
KITIMTIM PROMOTION INAKULETEA WIMBO MPYA WA ROSE MUHANDO UITWAO BABELI, KARIBU